Mratibu wa zamani wa Miss Tanzania Hashim Lundega, amefariki dunia leo Jijini Dar es Salaam.
Lundenga ambaye ameugua
kwa muda mrefu itakumbukwa ndio aliyesimamia kwa mafanikio makubwa Mashindano
ya Urembo Tanzania na kuyapa umaarufu mashindano hayo.
Lundenga pia aliwahi
kuhudumu kwenye Kamati ndani ya Klabu ya Yanga.

No comments:
Post a Comment