
Wakazi wa eneo la Uyole jijini Mbeya wakipita karibu na mabaki ya taka yaliyorundikwa katika moja ya mitaa ya eneo hilo.Mabaki haya ni yale yanayokwenda kuchambuliwa na watu waanaojiita wajasiriamali ambao huenda katika dambpo kuu la Uyole na kuchambua taka wanazoona zinawafaa na kuzirejesha tena kwenye makazi ya watu wakidai wataziuza jambo haijulikani zinahitajika kwa matumizi gani


WAHUSIKA WA TAKA HIZO WAKIZIKUSANYA BAADA YA MAAFISA WA HALMASHAURI YA JIJI KUWAAMURU KUZIONDOA MAHALI HAPA KUFUATIA AGIZO LA MKUU WA MKOA WA MBEYA ABBAS KANDORO KUTOTAKA KUWAONA TENA KWANI WANALICHAFUA JIJI
No comments:
Post a Comment