Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa akizungumza kabla ya kufunga rasmi mashindano ya mbio ya Mbeya
Tulia Marathon 2024 yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tulia Trust na kufanyika
jijini Mbeya.
Naibu Waziri wa
Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma akitumbuiza kwenye mashindano ya
mbio ya Mbeya Tulia Marathon 2024 yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tulia Trust na
kufanyika jijini Mbeya.
Msanii Bahati Bukuku akitumbuiza kwenye kilele cha mashindano ya
mbio ya Mbeya Tulia Marathon 2024 yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tulia Trust na
kufanyika jijini Mbeya.
No comments:
Post a Comment