Mwandishi mkuu wa mtandao huu wa kijamii Joachim Nyambo amewasili mkoani Ruklwa kwa ziara ya kikazi inayotarajiwa kuibua mambo mengi na kuwekwa bayana katika mtandao huu.Kwa habari na matukio zaidi endelea kuwa nasi
Ufukwe uliopo katika kijiji cha Kabwe mwambao mwa ziwa Tanganyika
Ufukwe uliopo katika kijiji cha Kabwe mwambao mwa ziwa Tanganyika

Wasiliana nasi kupitia nyambojoachim@gmail.com,ukumwitu@yahoomail.com au 0756 40 95 97.
No comments:
Post a Comment