Katika matokeo ya mechi ya awali Twiga Stars ilifungwa mabao
2-1 na na sasa timu ya Ethiopia imefuzu kucheza fainali hizo za Equatorial Guinea.
Nchi ambazo tayari zimefuzu kwa fainali hizo ni wenyeji Equatorial Guinea na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC).
KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE YA ETHIOPIA
No comments:
Post a Comment