Mtoto wa Bi. Mwanaidi Athumani.
Chanzo chetu ambacho nacho kilikuwa ni mpangaji ndani ya gesti hiyo kilisema kuwa tukio hilo lilitokea saa 8 usiku na Mwanaidi alipiga kelele huku akizozana na mpiga debe wake. Kiliposikia tukio hilo, chanzo hicho kikapiga simu kwa paparazi wetu aliyetinga katika nyumba hiyo ya wageni kwa ajili ya kushuhudia tukio hilo.
Baada ya kujifungua salama, paparazi wetu alimuuliza Mwanaidi kilichotokea ndipo mwanamke huyo akafunguka kuwa alikuwa amechepuka nje ya ndoa baada ya kukumbwa na shetani.
“Nina mume na tuna watoto watatu huyu ni wanne, mume wangu amesafari kwa ajili ya kutafuta fedha za maandalizi ya ujuo wa mwanetu akijua nina mimba ya miezi saba,” alisema mwanaidi. Pamoja na kutaka kugoma, lakini mwandishi wetu alimchukua mwanamke huyo na kichanga chake na kuwapeleka Hospitali ya Mkoa wa Morogoro ambako wamelazwa kwa uchunguzi zaidi.
Mhudumu wa gesti hiyo, Bi. Moshi Eliya ambaye alikuwa mkunga wa Mwanaidi alisema kuwa alishindwa kutumia ‘gloves’ wakati wa kumzalisha mzazi huyo kwa kuwa alikumkuta mtoto ameshaanza kutoka. “Mtoto aliashaanza kutoka, hata hivyo kwa usiku ule tungepata wapi hizo gloves?”
Wednesday, March 12, 2014
MJAMZITO AJIFUNGULIA GUEST AKIISALITI NDOA YAKE

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment