
Mbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa akiwa katika usafiri wa Baiskeli akienda kutembelea wapiga kura wake kata ya Ifunda eneo la Kivalali wiki iliyopita ,kandop ni wananchi na viongozi wa kata hiyo.

Mbunge Mgimwa akisalimiana na wanakikundi cha burudani Kivalali kata ya Ifunda

SWALI LA MSINGI KWA WAPIGA KURA KUJIULIZA NI JE,HARAKATI HIZI ZA KUTETEA RASILIMALI ZA TAIFA KWA MBUNGE WAO KUFANYA ZIARA KWA KUTUMIA USAFIRI WA NAMNA HII ZITAKUWA ENDELEVU?NA JE KABLA KABLA YA UBUNGE ALIWAHI KUWATEMBELEA AKITUMIA USAFIRI WA AINA HII?NA JE IPO SIKU TUTAMUONA AKIENDA DODOMA KWA KUTUMIA USAFIRI HUU?
No comments:
Post a Comment