SIKU YA MTOTO WA AFRIKA YAFANA KATIKA KATA ZA ILEMBO NA MASOKO
.WAELIMISHAJI WA MRADI WA KUPINGAA UKATILI WA KIJINSIA(GBV) NA UKATILI DHIDI YA WATOTO(VAC) WAKIONESHA MANJONJO KATIKA KUSAKATA MUZIKI
.
.Mmoja wa waelimishaji SINDE DASLAM AKISOMA RISALA MBELE YA MGENI RASMI NA WAGENI WAALIKWA
Baadhi ya wakazi wa vijiji vya kata ya Masoko wilayani Mbeya wakisikiliza hotuba ya diwani wa kata hiyo Edward Mwampamba walipoungana na watoto wao katika sherehe za maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika
No comments:
Post a Comment