Kuelekea Betika Mbeya Tulia Marathon 2026 msimu wa kumi kufanyika uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya tarehe 15-16/ 05/ 2026 , kesho tarehe 25/ 04/ 2026 wanau wanajiweka tayari kwaajili ya kushiriki marathon itakayo fanyika Jijini Mbeya, kesho wanakutaka stendi ya Kabwe kuanzia saa 12:00 asubuhi wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Beno Malisa na muelekeo ni kuelekea uwanja wa Sokoine ambapo hapo ndipo vibe litakuwa la aina yake.
Imeandaliwa na Mwandishi Wetu

No comments:
Post a Comment