BAADA ya mechi kati ya Yanga SC dhidi ya Augsburg kumalizika beki wa Klabu ya Augsburg ambaye pia ndiye mfungaji wa goli la kwanza La Augsburg, Mady Pedersen alimfuata kwenye Dressing Room Kiungo Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Maxi Nzengeli akampongeza kisha wakabadirishana jezi.
Maxi Nzengeli ndiye aliyetoa pasi ya goli lililofungwa na Mshambuliaji Jean Baleke.
No comments:
Post a Comment